SONGWE RRH NEWS UPDATE 08-02-2023.

Posted on: February 8th, 2023

Mratibu wa ustawishaji ubora wa huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe Ndg, Vumilia Shale akitoa mafunzo juu ya kuzuia na kudhibiti maambukizi ya magonjwa kwa watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe. 

Katika mafunzo hayo yaliyofanyika kuanzia tarehe 06-02-2023 mpaka 08-02-2023 Mratibu wa ustawishaji ubora wa huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe ameeleza kuwa watumishi wanapaswa kuzingatia miongozo ya wizara kuhusu kudhibiti maambukizi katika mazingira ya kazi.