malengo
- Kutoa kiwango cha juu kabisa cha huduma na ubora unakidhi uhitaji
- Tumejikita katika kujenga mahusiano yanayolenga kuhudumia mteja kwa kuheshimu tofauti zilizoko baina ya wateja kwa imani na mawasiliano mazuri
- Kufikia malengo ya msingi kwa pamoja
- Kuwa Hospitali inayofanyakazi kwa uwazi, Uaminifu na ushirikishwaji