dira na dhima yetu

DIRA

Kuwa Hospitali inayoongoza kwa kutoa huduma za Afya kwa kina na ubora, Utafiti na Mafunzo katika Afya ya Jamii

DHIMA

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe imejikita katika kutoa huduma za Afya zinazoweza kupatikana kirahisi kwa bei nafuu, za usawa kwa watu wote na kwa Ubora wa hali ya juu, huduma za utafiti na mafunzo ili kukidhi mahitaji ya wateja.