Clinic

HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SONGWE INATOA HUDUMA MBALIMBALI ZA KLINIKI AMBAZO NI;

  • KLINIKI YA DAKTARI BINGWA WA  AFYA YA WATOTO (KILA SIKU KUANZIA SAA 1:30 - 9:30 ALASIRI)
  • KLINIKI YA DAKTARI BINGWA MAGONJWA YA WANAWAKE ZA UZAZI (KUANZIA SAA 1:30 - 9:30 ALASIRI)
  • KLINIKI YA DAKTARI BINGWA MAGONJW YA MACHO (KILA SIKU KUANZIA SAA1:30 - 9:30 ALASIRI)
  • KLINIKI YA DAKTARI BINGWA MAGONJWA YA NDANI (KILA SIKU KUANZIA SAA 1:30 - 9:30 ALASIRI)