KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 08/03/2024

Posted on: March 5th, 2024

KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI,TIMU YA WANAWAKE HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SONGWE WANATARAJIA KUADHIMISHA SIKU HIYO KWA KUWASAIDIA WAGONJWA WALIOLAZWA WODINI VITU VITAVYOWASAIDIA KWA MATUMIZI YAO.