Nafikaje Songwe RRH

Ukiwa Vwawa Mjini katika Halmashauri ya Mbozi Hopsitali iko karibu na ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Songwe, na ukifika getini kuingia ofisi za Mkoa uliza walinzi walioko hapo watakuonyesha hospitali ya Mkoa wa Songwe.