Kliniki ya magonjwa ya wanawake (uzazi)

Posted on: March 20th, 2023

Hospital  ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe yupo dakitali bingwa wa magonjwa ya uzazi kwa wanawake na wanaume siku ya (Jumatatu, Jumatano na Ijumma)