All Clinics
Yupo dakitali Bingwa kwa ajili ya matatizo ya macho
RCH Clinic ya mama na mtoto zinapatikana Hospital ya Rufaa Mkoa wa Songwe
Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe yupo dakitali bingwa wa magonjwa ya uzazi kwa wanawake na wanaume siku ya (Jumatatu, Jumatano na Ijumma)
Yupo dakitali bingwa anayeshughulikia magonjwa ya watoto na anafanya kazi jumatatu-ijumaa