Wawakilishi timu ya menejimenti ya mkoa wa Songwe

Posted on: December 22nd, 2023

wawakilishi kutoka timu ya menejimenti ya Mkoa wa Songwe (RHMT) katika picha ya pamoja na timu ya menejimenti ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songwe,siku ya kutoa mrejesho wa kuhitimisha ukaguzi wa huduma zinazotolewa hospitali (RRHMT) (kipi kifanyike,kipi hakijafanyika na nini kifanyike) pamoja na kukagua mpango kazi wa hospitali pamoja na kukagua mahudhurio ya wagonjwa ambayo hurekodiwa kwa mfumo wa MTUHA.