SIKU YA WANAWAKE DUNIANI TAREHE 08/03/2024

Posted on: March 8th, 2024

KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI,WANAWAKE HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SONGWE WAMEWAPATIA WAGONJWA WALIOLAZWA WODINI MAHITAJI KAMA SABUNI ZA KUFULIA,

PAMPERS NA MAFUTA ,LENGO NI KUWAFARIJI NA KUWAJALI WAGONJWA.