news update

Posted on: February 16th, 2023

NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe na Kuzungumza na watumishi wa Hospitali leo tarehe 15/02/2023 ikiwa ni ziara ya kukagua utoaji huduma na uboreshaji wa miundombinu ikiwa ni kutekeleza maelekezo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.